ALWAYS FIRST IS THE BEST
🔴BOSS anamwambia sekretari wake:Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mchepuko):
Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mchepuko) anamwambia mwanafunzi wake wa tution:
wiki hii nina kazi fulani tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS):
Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake:
Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mchepuko):
dah! mpenzi, huyu fala haendi tena. Shit! So hadi next time plz
Mchepuko a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi):
Darasa kama kawaida sorry for the earlier message.
MWANAFUNZI: darling tution
inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya serena iko palepale......
Tuwasaidieje hawa wapendwa???
Fools chain 😂😂😂😂😂😂👆
0 Response to "VISA NA MKASA, NGOMA YAGONGA MWAMBA "
Post a Comment